LOGIN (INGIA)
Kuhusu Mfumo & Mawasiliano
Unahitaji mfumo wa MAISHA STAREHE BAR kwa biashara yako? Wasiliana na admin kwa maelezo zaidi.
+255 671 236 647
maishastarehebar@gmail.com
Vipengele Vikuu vya Mfumo
1. Usimamizi wa Hisa
Fuatilia idadi halisi ya bidhaa (chupa/makopo) na bidhaa zinazoisha muda wake.
2. Rekodi za Mauzo Haraka (POS)
Rekodi mauzo kwa urahisi, fuatilia miamala na utoe risiti papo hapo.
3. Ripoti za Kina & Faida
Pata ripoti sahihi za mauzo, faida, na bidhaa zinazouzwa zaidi.